Wapendwa wa Iringa na kokote duniani,
usikose sherehe maalum ya pasaka bomani siku ya jumamosi, tarehe 31, 2018! Kuna gulio la wazi la bidhaa za kutamaduni, michezo ya watoto, live band, nayma chome, an vitu vingine vingi! Angalia kipeperushi kwa taarifa zaidi…