Iringa Boma Easter Market Event.
Tarehe 16.4.2022 kutakuwa na gulio katika makumbusho ya Mkoa Iringa Boma sambamba na uzinduzi wa Mgawa wa kahawa Aroma coffee @boma uliokuwa ukifanyiwa ukarabati kwa miezi mi nne.
Ngoma za Asili kutoka makabila mbalimbali, Michezo ya Watoto, Live band na masimulizi ya hadithi za kale ni miongoni mwa vitu vitakavyokuwepo muda ni saa 3:00 Asubuhi hadi 4:00 Usiku. Kiingilio ni buree kwa watakao hudhuria nyote mnakalibishwa.