fahari yetu imebuniwa ili kuendeleza rasilimali za kitamaduni  katika njia ya kuboresha ustawi na maisha ya watu.

Mradi umepania kuhakikisha kuna kuwa na mkondo wa mapato katika jamii, kupitia kubadili rasilimali za kitamaduni na kuzifanya kuweza si tu kuuzika lakini pia kuwa utalii wa utamaduni endelevu.

Matukio ya Kitamaduni

Utalii na Bidhaa

Promosheni ya mradi na kazi zake