Jhikoman & Afrikabisa Band watapitia tena Iringa tarehe 1 October, 2019. Safari hii watapiga show Iringa Sunset Hotel. Tunashukuru sana Iringa Sunset Hotel kwa kusapoti hata show ya kwanza Iringa Boma!

One love!