Mkongwe wa reaggae Tanzania anakuja kutikisa Iringa: Jhikoman & Afrikabisa Band!
Jumatano, 25 September, 2019, saa 12 jioni. Hakuna kiingilio, chakula na vinywaji vinauzwa.
Karibuni sana!
Mkongwe wa reaggae Tanzania anakuja kutikisa Iringa: Jhikoman & Afrikabisa Band!
Jumatano, 25 September, 2019, saa 12 jioni. Hakuna kiingilio, chakula na vinywaji vinauzwa.
Karibuni sana!
Wapendwa wa Iringa,
mnakumbuka siku ya pasaka Iringa Boma 2018 ilivyokuwa bomba? Basi, mwaka huu itakuwa bomba zaidi!
Usikose sherehe maalum ya pasaka bomani siku ya jumamosi, tarehe 20 April, 2018! Kuna vitu vifuatavyo:
Hakuna kiingilio!
Angalia kipeperushi kwa taarifa zaidi…
…maonesho mapya…mitazamo mipya…hadhira mpya…
Wapendwa watu wa ndani na nje ya Iringa,
usikose programu maalum ya siku 3 ya kuadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani hapo Iringa Boma! Uje pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki kufurahia starehe nono…
Gharama zake:
Ijumaa, 18 Mei (sherehe rasmi): hakuna kiingilio
Jumamosi, 19 Mei na Jumapili, 20 Mei (burudani mbalimbali):
Wakubwa Tsh 2,000
Watoto Tsh 1,000
Kutembelea mji wa Iringa (guided history tour): Tsh 20,000
Karibuni sana…
Wapendwa wa Iringa na kokote duniani,
usikose sherehe maalum ya pasaka bomani siku ya jumamosi, tarehe 31, 2018! Kuna gulio la wazi la bidhaa za kutamaduni, michezo ya watoto, live band, nayma chome, an vitu vingine vingi! Angalia kipeperushi kwa taarifa zaidi…
Tangazo! Iringa Boma inatoa nafasi mbili za kazi kwanzia mwezi wa nne, 2018! Karibuni kuleta application…