fahari yetu inaiwezesha jamii kupitia:

  • Elimu kuhusu maana na umuhimu wa utamaduni na urithi
  • Mafunzo katika taaluma husika na ujuzi katika ujasiriamali
  • Kuiunganisha jamii na mitandao ya utamaduni na masoko ya utalii
  • Kuihusisha na kuunga mkono jamii kwa kuendeleza masoko ya bidhaa

Uhamasishaji Jamii na Mafunzo