Wapendwa wa Iringa na kokote duniani,

usikose sherehe maalum ya pasaka 2018! Kuna gulio la wazi la bidhaa za utamaduni, michezo ya watoto, live band, nyama choma, na vitu vingine vingi. Kwa taarifa zaidi angalia kipeperushi chini…