Iringa Boma ipo katikati ya mji wa Iringa. Ni mahali pa elimu, ushiriki na mapumziko. Inatoa fursa nyingi za kiutamaduni kwa wenyeji, wakazi pamoja na watu kutoka kwa nje ya Iringa.

Neno la Kiswahili “Boma” limechaguliwa kwa sababu ya kusudi la senta hii la kutetea utamaduni na urithi wa mkoa wa Iringa.

Ukumbi wa Mafunzo & Mikutano

Kuhusu Makumbusho

Viingilio & Saa za Kufungua

Aroma Coffee @Boma

Maonyesho ya utamaduni na historia

Historia ya Iringa

Uganga wa Jadi Iringa

Tamaduni za Iringa

Maonesho Shirikishi

Talii Iringa