Usisite kupata tiketi yako kwa ajili ya tukio kubwa la Iringa Boma Usiku wa Wapendanao litakalofanyika tarehe 14 February, 2018. Furahia chakula kitamu na burudani mbalimbali pamoja na mpenzi wako, marafiki zako, ama peke yako tu…