Wapendwa watu wa ndani na nje ya Iringa,
usikose programu maalum ya siku 3 ya kuadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani hapo Iringa Boma! Uje pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki kufurahia starehe nono…
Gharama zake:
Ijumaa, 18 Mei (sherehe rasmi): hakuna kiingilio
Jumamosi, 19 Mei na Jumapili, 20 Mei (burudani mbalimbali):
Wakubwa Tsh 2,000
Watoto Tsh 1,000
Kutembelea mji wa Iringa (guided history tour): Tsh 20,000
Karibuni sana…