Shughuli za fahari yetu zimegawanyika katika maeneo makuu matano, ambapo kila eneo moja wapo limelenga katika kutimiza malengo makuu ya mradi.