IRINGA BOMA EASTER MARKET

nimoja kati ya shughuli inayoazimishwa na makumbusho ya mkoa Iringa Boma chini ya mradi wa fahari yetu Tanzania kwa lengo la kuwatafutia masoko wajasiliamamli wadogo wanao patika Iringa na sehemu mbalimbali Tanzania. Takribani miaka mitatau sasa shughuli hii imekuwaikifanyika katika kipindi cha pasaka.

Mwaka 2023 tukio hiili litafanyika tarehe 8 mwezi wa 4 katika viwanja vya Iringa Boma, ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali kama vile Ngoma Asili, Ubunifu Mavazi, Michezo ya Watoto na Vitu kadha wa kadha,  Watu wote mnakaribishwa sana  hakuna kiingilio ni bure kabisa.

kwa waejasiliamali wanaopenda kushiriki katika tukio hili tunawezakuwasiliana kupitia mitandao yetu ya kijamii na nambari za simu.