Wapendwa wa Iringa,
Usikose sherehe maalum ya pasaka bomani siku ya jumamosi, tarehe 20 April, 2018! Kuna vitu vifuatavyo:
- Ufunguzi wa duka la Vikapu Bomba
- Gulio la wazi la bidhaa mbalimbali
- Burudani la muziki
- Michezo ya watoto (jumping castle, trampoline, rubber pool, Easter egg hunt n.k.)
- Vyakula & vinywaji
Hakuna kiingilio!
Angalia kipeperushi kwa taarifa zaidi…
Please see the flyer for more information…