Iringa Boma lina ukumbi mahsusi kwajili ya kuandaa mafunzo, mikutano, na warsha kwa ajili ya wadau wa utamaduni na utaliiĀ pamoja na taasisi na makampuni mengine.