•  Jaribu kutwanga mahindi kuwa unga kwa kutumia kinu na mchi
  •  Jaribisha mavazi ya Iringa ya kiasili
  •  Chukua picha yako mwenyewe katika vazi la kihehe