Mgahawa unatoa huduma ya vinywaji, vitafunwa na vyakula vitamu mbalimbali na ni sehemu nzuri ya kupumzika. Wateja wanaweza kukaa ndani ya jengo la Boma na vilevile nje katika bustani na kufurahia mandhari ya kihistoria.