Hatimaye mgahawa wa Iringa Boma umefunguliwa tena! Unaendeshwa na Lulu’s, jina kubwa linalokumbukwa sana Iringa kutoka zamani! Tembelea Iringa Boma ili upate vyakula na vinywaji unavyopenda…