fahari yetu inaandaa na kushiriki katika matamasha ya mara moja na ya mara kwa mara ya utamaduni ikiwa ni pamoja na matamasha yafuatayo:
- Maonesho ya kimataifa ya Utalii
- Tamasha la Mkwawa Iringa 2014
- Mashindano ya mwaka ya Wilaya na Mkoa ya utamaduni