fahari yetu imebuniwa ili kuendeleza rasilimali za kitamaduni katika njia ya kuboresha ustawi na maisha ya watu.
Mradi umepania kuhakikisha kuna kuwa na mkondo wa mapato katika jamii, kupitia kubadili rasilimali za kitamaduni na kuzifanya kuweza si tu kuuzika lakini pia kuwa utalii wa utamaduni endelevu.