Maonesho ya utamaduni, historia na urithi yanaonesha kuhusu mambo yafuatayo:

  1. Historia ya Iringa
  2. Matambiko na Uganga
  3. Tamaduni za Iringa
  4. Muingiliano
  5. Hazina ya asili na tamaduni ya Mkoa
  6. Maonesho ya muda ya kazi za mikono na warsha

Dec

05

Ufunguzi wa maonesho mapya ya “Mabadiliko ya Binadamu”

05. Dec 2020

Maonesho yaliyosubiriwa kwa hamu pamoja na mambo mengi zaidi...