Wiki hii Makumbusho ya Mkoa – Iringa Boma ilibahataika kupata ugeni wa familia ya Muwakilishi wa IMF nchini Tanzania. Aliyependa kutenga muda wake na kuja kujionea yaliyopo Makubusho ya Mkoa Iringa Boma. Asante sana Mh.Jens Reinke kwa kututembelea na karibu tena tushirikiane kukuza utalii wetu