Haikuwa rahisi. Ilihusisha majadiliano na kufikiri kwa muda mrefu, lakini hatimae tovuti ya fahari yetu ipo hewani. Live!

Tunawakaribisha ilikuweza kuchimba na kufahamu kuhusu Iringa, urithi na ├╝tamaduni wake. Baadhi ya kurasa bado zinaendelea kufanyiwa marekebisho na maboresho ya hapa na pale. Tafadhali jisikie huru kutuma maoni yako kupitia anuani zetu.

Happy Browsing…