fahari yetu inaiwezesha jamii kupitia:
- Elimu kuhusu maana na umuhimu wa utamaduni na urithi
- Mafunzo katika taaluma husika na ujuzi katika ujasiriamali
- Kuiunganisha jamii na mitandao ya utamaduni na masoko ya utalii
- Kuihusisha na kuunga mkono jamii kwa kuendeleza masoko ya bidhaa
