fahari yetu hutoa msaada wa udhamini kwa waombaji wenye vipaji kwa njia kadhaa:

  • Kiasi cha udhamini kwa wanafunzi wa UoI  na  washirika wawakilishi kwa kozi ya Shahada ya uzamili katika Utalii, Utamatudni na Jamii.
  • Udhamini kwa ajili ya wafanyakazi wa UoI na washirika wawakilishi kwa kozi ya shahada ya Uzamivu na mafunzo ya Uzamili.