fahari yetu inatengeneza ramani zifuatazo kuifanya Iringa kuwa sehemu ya mafikio:

  • Ramani kuhusu maeneo ya utamaduni na urithi wa mkoa
  • Ramani ya Iringa mjini na sehemu za utamaduni na utalii
  • Ramani ya vielelezo vya  kina kuhusu maeneo ya urithi