Iringa Boma inatarajiwa kuhifadhi nyaraka za kihistoria za mkoa. Nyaraka hizo zitajumuisha:

  • Maandiko ya kitaaluma na mengine yanayopatikana katika mkoa wa Iringa.
  • Nyaraka za utawala wa kikoloni
  • Nyaraka za utawala baada ya uhuru
  • Nyaraka za historia ya misheni Iringa