Iringa Boma inatarajiwa kuhifadhi nyaraka za kihistoria za mkoa. Nyaraka hizo zitajumuisha:
- Maandiko ya kitaaluma na mengine yanayopatikana katika mkoa wa Iringa.
- Nyaraka za utawala wa kikoloni
- Nyaraka za utawala baada ya uhuru
- Nyaraka za historia ya misheni Iringa