Matukio ya mara kwa mara na vilevile maalum yanatoa burudani ya kiutamaduni mjini Iringa na kuhamasisha ushiriki na ujasiriamali katika jamii. Vikundi vya sanaa vya Iringa vinacheza dansi na muziki na kuuza bidhaa za kiutamaduni. Mitindo na bidhaa zinatofautiana kila wakati ili kusaidia kuwajengea soko vikundi mbalimbali.

DSC_0206