Jaribu kutwanga mahindi kuwa unga kwa kutumia kinu na mchi Jaribisha mavazi ya Iringa ya kiasili Chukua picha yako mwenyewe katika vazi la kihehe