Katika majadiliano shirikishi ya vikundi, wanajamii wanachangia mawazo juu ya rasilimali za utamaduni zilizopo na njia ya kuzionesha.