UoI  inatoa mafunzo yafuatayo katika katika utamaduni, urithi, na utalii:

 

  • Shahada ya uzamili ya Utalii, Uamaduni na Jamii (angalia kipeperushi kwa maelezo zaidi)
  • Shahada ya kwanza ya Utamaduni, Antropolojia na Utalii (angalia kipeperushi kwa maelezo zaidi)
  • Stashahada ya Utalii na Mapumziko
  • Kozi ya Utalii katika ngazi ya Cheti

Kama una nia ya kujiunga na moja kati ya program hizi; tafadhali ulizia kupitia  mawasiliano yalipo katika kipeperushi au kupitia tovuti ya UoI.