UoI inatoa mafunzo yafuatayo katika katika utamaduni, urithi, na utalii:
- Shahada ya uzamili ya Utalii, Uamaduni na Jamii (angalia kipeperushi kwa maelezo zaidi)
- Shahada ya kwanza ya Utamaduni, Antropolojia na Utalii (angalia kipeperushi kwa maelezo zaidi)
- Stashahada ya Utalii na Mapumziko
- Kozi ya Utalii katika ngazi ya Cheti
Kama una nia ya kujiunga na moja kati ya program hizi; tafadhali ulizia kupitia mawasiliano yalipo katika kipeperushi au kupitia tovuti ya UoI.