Iringa mjini ni sehemu mahiri na yenye tamaduni mbalimbali. Mradi huu unalenga kuweka wazi tabaka tofauti na ukuaji wa mji na maendeleo na kufanyia kazi michango ya makundi mbalimbali ya kijamii na watu waliohusika katika mchakato wa masuala ya kihistoria.