Mkongwe wa reaggae Tanzania anakuja kutikisa Iringa: Jhikoman & Afrikabisa Band!Jumatano, 25 September, 2019, saa 12 jioni. Hakuna kiingilio, chakula na vinywaji vinauzwa.Karibuni sana!