Karibu Iringa Boma
Jumuika nasi tarehe 19/4/2025 kuanzia saa tatu asubuhi kwenye Gulio la Pasaka (Easter Market)
Karibu ushiriki kwenye:
* Ufunguzi mkubwa wa maonesho mapya ya utamaduni wa Wahehe, Wamaasai na Wadatoga..🎭
* Gulio la wazi….
* Michezo ya watoto ⚽️
* Ngoma za asili 🥁
* Utumbuizaji (open mic)🎤
Chakula na vinywaji vitapatikana
Karibu usikose
